Anza na budget inayokufaa
Biashara inaweza kuanza kutoka TZS 2,000 kwa siku. Kwa campaign ya mkoa, NiKao inaweza kupendekeza budget kubwa zaidi, lakini user ataendelea kuwa na uwezo wa kuweka custom budget.
NiKao imeundwa kwa biashara ndogo, SMEs, growth teams, agencies na organizations zinazotaka kupata wateja kwa njia inayopimika.
Biashara inaweza kuanza kutoka TZS 2,000 kwa siku. Kwa campaign ya mkoa, NiKao inaweza kupendekeza budget kubwa zaidi, lakini user ataendelea kuwa na uwezo wa kuweka custom budget.
NiKao inaweza kutumiwa na restaurants, salons, hotels, tour companies, clinics, schools, retail, agriculture, professional services, real estate, telecoms na biashara nyingine.
Dashboard inalenga kuonyesha reach, clicks, leads, conversions, campaign spend, cost per lead na customer acquisition cost badala ya kuonyesha impressions pekee.
Badala ya kutangaza Tanzania nzima bila strategy, biashara inaweza kuanza kwenye maeneo machache, kuona performance na kupanua campaign kwa hatua.