Account
Mtumiaji anawajibika kutoa taarifa sahihi na kulinda credentials zinazotumika kuingia kwenye account yake.
Masharti haya yanaeleza misingi ya matumizi ya NiKao, campaigns, integrations na huduma zinazotolewa kupitia platform.
Mtumiaji anawajibika kutoa taarifa sahihi na kulinda credentials zinazotumika kuingia kwenye account yake.
Business inawajibika kwa bidhaa, huduma, offers, images, claims na content inayotumia kwenye campaigns zake.
Campaign delivery inaweza kutegemea sera, approval, minimum spend, availability na technical requirements za advertising platforms zinazotumika.
Campaign budget, NiKao charges na third-party advertising spend vitaonyeshwa kwa uwazi kadri payment features zinavyowashwa.
NiKao haitakiwi kutumika kwa fraud, impersonation, illegal advertising, spam isiyoruhusiwa au content inayokiuka sheria au sera za platform husika.
Features, integrations na limits zinaweza kubadilika kadri NiKao inavyoendelea kujengwa na huduma mpya kuongezwa.