Campaign Studio
Chagua bidhaa au huduma, lengo la campaign, audience, eneo, muda na budget. NiKao inasaidia kupanga structure ya campaign kabla ya kuizindua.
NiKao inasaidia biashara kutoka hatua ya kupanga campaign mpaka kupata lead, kuwasiliana na mteja na kupima conversion.
Chagua bidhaa au huduma, lengo la campaign, audience, eneo, muda na budget. NiKao inasaidia kupanga structure ya campaign kabla ya kuizindua.
Tengeneza headlines, descriptions, calls to action, creative ideas na campaign variants zinazoweza kutumika kwenye Meta, Google, YouTube, TikTok na channels nyingine tunazounganisha.
Campaign inaweza kuanzia eneo dogo, wilaya, mkoa au Tanzania nzima. NiKao inaonyesha scope ya campaign na kusaidia kupanua eneo pale performance inapokuwa nzuri.
Leads wanaweza kutoka kwenye ads, website, WhatsApp, SMS na social channels. NiKao inalenga kusaidia kujibu maswali, kuqualify lead, kufanya follow-up na kusaidia booking au order.
Pima calls, enquiries, bookings, sales, leads na customer acquisition cost ili kujua campaign ipi inaleta matokeo halisi.
Campaign inapofanya vizuri, NiKao inaweza kusaidia kupanua kutoka wilaya moja kwenda mkoa, Tanzania nzima au masoko mengine ya EAC.